Business Ideas

"Biashara Inaanza Kwenye Akili Na Mtazamo Au Maono"

About

Karibu Business Idea blog,KWa majina naitwa Peter Augustino,ni Mhandisi wa Talakilishi na Tehama(Bachelor Of Science In Computer engineer And IT).

Ni mtaalam wa Graphics pia Android app development,Music(kuimba Gosple) Na Sanaa zingine kama Kuigiza,Mashairi(Poems) na Vinginevyo ni mwanzilishi wa Kampuni inayoitwa The Ogast Company tuna deal na Vitu vyote Graphics,Films,Music,Biashara,Kusaidia Jamii na Vinginevyo…

Pina Nina app zingine kama Bible School app,Afya Ya Akili,Ijue Historia,Language Translations na zinginezo.

Ahsante na Karibu sana Jisikie Upo nyumbani Enyoy posts

Create your website with WordPress.com
Get started
%d bloggers like this: